Na Chibura Makorongo, Simiyu.
Jeshi la polisi mkoani Simiyu
linawashikilia watu tisa wakiwemo wanawake wawili wa kijiji cha
Mwabulimbu wilayani Maswa kwa tuhuma za mauaji ya kikatili ya kina mama
wawili kuuawa na kuchomwa moto kwa kudaiwa kuzuia mvua kunyesha.
Mbali na wanawake hao polisi pia inawashikilia viongozi wakuu wa jeshi la
ulinzi wa jadi "Sungusungu" akiwemo Mtemi na
↧