MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Talib Ali
Talib, amesema wanachama na viongozi wanaohoji Waziri Mkuu mstaafu
Edward Lowassa kutengenezewa fulana zenye picha yake na ujumbe wa
‘Friends of Lowassa’ (Marafiki wa Lowassa) ni washamba.
Akizungumza na Tanzania Daima jana, mjumbe huyo alisema
haikuwa sahihi kwa Waziri Mkuu mstaafu John Samuel Malecela kushangaa
↧