SHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), limependekeza mshahara wa kima cha chini uwe sh 720,000.
TUCTA imekuja na pendekezo hilo huku kukiwa na taarifa kwamba
serikali imepandisha kiinua mgongo kwa wabunge kutoka sh milioni 43 za
awali hadi sh milioni 160, pamoja na nyongeza ya mishahara na posho zao.
Pendekezo hilo la TUCTA lilitangazwa jana na Katibu Mkuu wa
↧