Kumekuwa na kurasa (accounts) mbalimbali zenye jina la Mhe. Edward
Lowassa katika mitandao ya kijamii kama vile Facebook, Twitter,
Instagram n.k. zinaonekana mmiliki wake ni Mhe. Edward Lowassa.
Ukweli ni kwamba hizo zote hazimilikiwi na Mhe. Lowassa.
Kwa maana hiyo chochote kinachoandikwa au kuchapishwa kwenye kurasa hizo hazihusiani kwa namna yoyote na Mhe Lowassa.
↧