MAOMBOLEZO ya msiba wa aliyekuwa mwanamuziki wa kizazi kipya, marehemu
Albert Mangwea, yameanza nyumbanmi kwa baba yake mdogo, Mbezi Beach
jijini Dar es Salaam ambako jana jioni ndugu, jamaa na majirani
walikutwa wakiwa katika matayarisho ya kuupokea mwili wa marehemu.
<!-- adsense -->