Kifo cha mwanamuziki wa Tanzania, Albert Mangwea kilichoripotiwa hivi
majuzi, kinazidi kuacha maswali mengi kadiri siku zinavyozidi kusogea.Wapo
baadhi ya watu ambao wametoa maoni ya kutilia shaka maelezo na sababu
za awali za kifo hicho, hali wakitumai kuwa mtu aliyekuwa naye karibu
ambaye anaelezwa kuwa hai bado hospitalini, mwanamuziki M2P huenda akawa
mtu muhimu wa kutoa maelezo ya
↧