Mshiriki
wa shindano la Big Brother Africa Chase kutoka nchini Zimbabwe Nare
Pokello amejikuta katika kashfa kubwa baada ya mkanda wake wa ngono kuvuja
siku chache tu baada ya yeye kuingia ndani ya jumba la BBA. kashfa
hiyo ambayo sasa ndio habari ya mjini imezagaa katika kurasa kadhaa za
Facebook huku mashabiki wengi kutoka nchini kwake wakisistiza watu
wampigie kura ya kumng'oa
↧