Warembo wawili, wakazi wa Sinza, Dar es Salaam
ambao majina yao hayakupatikana, wamenaswa wakizichapa laivu wakidaiwa
kugombea bwana.
Tukio hilo la
kujidhalilisha lilijiri katika baa maarufu ya Corner iliyopo
Sinza-Afrikasana, Dar, majira ya asubuhi wakati watu wakiwa kwenye
mishemishe za kuwahi kazini.
Katika tukio hilo, mmoja wa warembo hao
alikuwa akilalamika kuwa kuna mwanaume
↧