Naibu
Spika wa Bunge,Ndugu Job Ndugai amesema kuwa kuanzia sasa hatamwadhibu
Mbunge yeyote anayeleta vurugu Bungeni kwakuwa amechoka lawama.
Akihojiwa na Redio One Stereo katika kipindi cha Kumepambazuka leo asubuhi ,Ndugai amesema kuwa yeye amechoka kuitwa mzembe,zezeta na goigoi na
vyombo vya habari.
Ndugai
amesema kuwa hata kwa Wabunge waliosababisha tafrani Bungeni jana kiasi
↧