TAARIFA YA UCHUGUZI JUU YA KUTEKWA NA KUUMIZWA KWA ABSALOM KIBANDA IMEWASILISHWA NYUMBANI HOTEL – TANGA MEI 30, 2013
UTANGULIZI:Usiku wa Jumanne ya Machi 5
kuamkia Machi 6, 2013, Mhariri Mtendaji wa New Habari (2006) Ltd, ambaye
pia Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Absalom Kibanda
alivamiwa na kujeruhiwa vibaya akiwa nje ya lango la kuingilia nyumbani
kwake Mbezi
↧