Kumekuwepo na Minong'ono mingi lakini hapakuwa na ushahidi wa hili mpaka
mwanadada huyo alipoamua kuanika hadharani kuwa mheshimiwa Reginald Mengi ndiye baba halali wa mapacha wake wawili.
Hongera
Mmiliki wa makampuni ya IPP bwana REGINALD mengi kwa kumiliki mtoto mkali Jackline Ntuyabaliwe(K'lyne) ....
Hiyo ndo Tweet ya K'lyne kwa mpenzi wake Mh. MENGI
<!-- adsense -->
↧