-Msanii M2 the P anaendelea vizuri, leo ameweza kuongea na ametolewa ICU kupelekwa wodini
-Mwili
wa Albert Kenneth Mangwair unatarajiwa kuwasili jijini Dar Jumamosi
Juni 1, 2013 na kuhifadhiwa katika Hospitali ya Taifa, Muhimbili.
-Ngwair anatarajiwa kuagwa siku ya Jumapili katika Viwanja vya Posta Kijitonyama jijini Dar.
-Msanii
Bushoke alaani watu wanaotoa taarifa zisizo sahii
↧