Picha: Lowassa amtembelea Tundu Lissu hospitali
Waziri Mkuu wa zamani na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Edward Lowassa leo Oktoba 24 amemtembelea na kumjulia hali Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Tundu Lissu ambaye...
View ArticlePata Tiba ya Tatizo la Nguvu Za Kiume........Inasaidia Kukufanya Urudie Mara...
TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA MAUMBILE MADOGO LINATIBIKA.Baada ya utafiti wa mda mrefu juu ya matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume na ukosaji wa hamu ya tendo la ndoa ama kushindwa kurudia...
View ArticleZitto Kabwe Ajibu Mapigo ya Kupika Data za Serikali
Mbunge na kiongozi wa Chama Cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema kuwa yupo tayari kuwajibika kuhusu kinachodaiwa kupika taarifa za serikali endapo Rais Magufuli ataruhusu ukaguzi maalumu wa CAG...
View ArticleHabari Njema: Tunatibu Busha, Korodani Kuvimba,Ngiri, Miguu Kufa Ganzi Pamoja...
Ni dawa ya nguvu za kiume inayorefusha na kunenepesha uume saizi uipendayo (Inch 1-7) kwa muda wa siku 6 tu.Dozi hii itakufanya uchelewe kufika kileleni kwa muda wa dakika 30, utarudia tendo la ndoa...
View ArticleMkurugenzi Chadema aendelea kusota rumande
Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imesema itaendelea kumshikilia Mkurugenzi wa Operesheni na Mafunzo wa Chadema, Kigaila Benson.Kigaila aliyeripoti Kituo Kikuu cha Polisi jana Jumatatu Oktoba...
View ArticleSerikali yalifunga gazeti la Tanzania Daima kwa siku 90
Serikali imesitisha uchapishaji na usambazaji wa gazeti la Tanzania Daima kwa muda wa miezi mitatu kuanzia Oktoba 24, 2017.Uamuzi huo umetokana na makosa makubwa katika toleo na. 4706 la Oktoba 22,...
View ArticleKatibu Tawala wa Iringa awataka walimu kutumia kondomu Na Walioathirika...
Na Fredy Mgunda, Iringa Walimu wa halmashauri ya Manispaa ya Iringa wametakiwa kutumia kondomu ili kujikinga na magonjwa ya zinaa ambayo yamekuwa yakipunguza nguvu kazi ya taifa.Hayo yamesemwa na...
View ArticleMsajili wa NGOs alisimamisha shirika linalotuhumiwa kujihusisha na ukahaba
Ofisi ya Msajili wa Taasisi zisizo za Serikali imesimamisha shughuli za Shirika la KBH Sisters kuanzia tarehe 24 Oktoba, 2017 ili kupisha uchunguzi unaofanywa dhidi ya tuhuma za shirika tajwa...
View ArticleSerikali kuendeleza ushirikiano na Umoja wa Mataifa katika kuleta maendeleo
Na Thobias Robert-Maelezo Serikali imesema kuwa itaendelea kushirikiana na umoja wa mataifa katika kuleta maendeleo, katika sekta za kiuchumi na kijamii, kulinda amani, kuimarisha sekta ya viwanda na...
View ArticleMakamu wa Rais azitaka taasisi za kifedha kufungua matawi vijijini
Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu amezitaka taasisi za kifedha nchini kuboresha huduma kwa kufungua matawi maeneo ya vijijini ili kuwafikia wananchi wengi na hasa wanawake ili wazitumie huduma hizo kwa...
View ArticleSekta Binafsi Yashauriwa Kupeleka Changamoto Zao Serikalini
Sekta Binafsi imetakiwa kuwasiliana moja kwa moja na Serikali ili kutatua changamoto zinazoikabili badala ya kupitia wadau wa nje kwanza, kwa kuwa mlango wa Serikali uko wazi kwa ajili ya majadiliano...
View ArticleJipatie Dawa ya Asili ya Kupunguza Maziwa, Kupunguza Tumbo,Kuongeza Unene,...
NATURAL BEAUTY PROD. NDIYO KAMPUNI PEKEE INAYOTOA BIDHAA ORIGINAL GARANTII PAMOJA NA SISITI. Sasa ni wakati wako mpendwa wa kupendeza na bidhaa hizi bila kemiko wala madhara kwa mtumiaji...
View ArticleKutana na Mtabibu Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH....Anatoa Pete za Bahati,...
Kutana na Mtabibu Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH CHIEF SULTAN MAKATA Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Dawa za Asili ya Africa Mwenye UWEZO Kubaini tatizo lako Pindi tu Utakapo Fanya Mawasilino Kupitia...
View ArticleTatizo la Nguvu za Kiume na Chanzo cha Kuwa na Maumbile Madogo
Wataalam katika chuo kikuu cha tiba johns hopkins wanakili kuwa asilimia 75% ya wanaume duniani wamepatwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.Tatizo hili linasababishwa na kushuka kwa TESTOSTERON...
View ArticleWatumishi wanolewa kudhibiti matumizi mabaya ya Gharama za Uchaguzi
Na Monica Laurent, Ofisi ya Msajili wa Vyamavya SiasaMsajili wa Vyama vya Siasa nchini Mhe. Jaji Francis S.K Mutungi amewataka watumishi kutoka ofisi yake kuhakikisha wanafanya kazi kwa kuzingatia...
View ArticleKamanda Mamboasa Alaani Kitendo cha Polisi Kuwapiga Wananchi
Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imelaani vitendo vilivyofanywa na askari ambavyo havina maadili ya kazi.Taarifa ya polisi ya jana Jumanne Oktoba 24,2017 imesema jalada limeshafunguliwa na...
View ArticleOfisa TRA Kizimbani Kwa Kumiliki Magari 19 Yasioendana Na Kipato Chake
Ofisa Msaidizi wa Forodha wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Jennifer Mushi amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashitaka mawili ikiwamo la kumiliki magari 19 na kuishi...
View ArticleTarehe Rasmi ya Kuanza Masomo Vyuoni Yatangazwa.
Kaimu Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) Profesa Eleuther Mwageni amesema wanafunzi ambao tayari wamekidhi vigezo na kupitishwa kujiunga na elimu ya juu wanatakiwa kuripoti chuoni...
View ArticleKamati ya Bunge Yakerwa na Kitendo cha Polisi Kuwaingilia kwa Kuwakamata...
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imelaani kitendo cha jeshi la polisi kumkamata na kumhoji mwandishi wa habari wa gazeti la Nipashe, Agusta Njoji kutokana na habari aliyoiandika mwishoni mwa...
View Article