Rais Magufuli Ataka Wanaopika Data za Uongo Wahughulikiwe
Rais John Pombe Magufuli amefunguka na kuvitaka vyombo vya dola nchini viwashungulikiwe watu ambao wamekuwa wakipika data za uongo za serikali na kuzichapisha sehemu mbalimbali na kusema watu hao...
View ArticleMahakama Kuu Yasema Lulu Michael Ana Kesi ya Kujibu
Mahakama Kuu imesema msanii wa kike katika fani ya uigizaji wa filamu nchini, Elizabeth Michael maarufu Lulu anayekabiliwa na kesi ya kuua bila ya kukusudia ana kesi ya kujibu.Lulu ambaye yupo nje kwa...
View ArticleTiba ya Asili ya Pumu, Vidonda vya Tumbo, Busha na Nguvu za Kiume
Tatizo La Upungufu Wangu Za Kiume Na Maumbile Madogo Ya Uume Limekuwa Kubwa Kwa Lika Zote Hapa Kwetu Na Duniani Kote. Tatizo Si Tatizo Bali Ni Ile Tiba Sahihi Ya Matatizo Haya CHAZO CHAKE NA...
View ArticleRais Magufuli amemteua Profesa Luoga kuwa Gavana mpya wa Benki Kuu ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli, amemteua mmoja wa wajumbe wa Kamati ya Makinikia, Profesa Florens Luoga kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kuchukua nafasi ya Prof....
View ArticleMkurugenzi wa Operesheni na Mafunzo wa Chadema, Kigaila Benson Atupwa Rumande
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam 'limemtupa' rumande Mkurugenzi wa Operesheni na Mafunzo wa Chadema, Kigaila Benson.Kigaila anayetuhumiwa kutoa lugha za kichochezi Oktoba 12 katika mkutano...
View ArticleKauli ya Profesa Luoga Baada ya Kuteuliwa Kuwa Gawana wa BoT
Gavana mteule wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Florens Luoga amesema amepokea kwa heshima kubwa dhamana aliyopewa na Rais John Magufuli na anatambua changamoto za nafasi hiyo.Profesa Luoga...
View ArticleRais Magufuli aliponda gazeti la TanzaniaDaima
Jana nilikuwa nasoma gazeti moja, katika ukurasa wa mbele wameandika “Asilimia 67 ya Watanzania wanatumia ARVs,” nilipo liona nikajua wamekosea bahati mbaya nikaamua kufungua ndani nione kama...
View ArticleMwigamba Amjibu Zitto Kabwe
Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa ACT -Wazalendo, Samson Mwigamba ametaja sababu mbili zilizomfanya kukataa wito wa kikao cha Kamati ya Uongozi ya chama hicho kwa ajili ya mahojiano.Jumamosi Oktoba 21,2017...
View ArticleLulu Michael Aieleza Mahakama Jinsi Alivyogombana na Kanumba na Jinsi...
Kesi ya kuua bila kukusudia inayomkabili muigizaji wa filamu Tanzania, Elizabeth Michael (Lulu), imeendelea leo ambapo upande wa mshtakiwa umeanza kutoa utetezi wake.Akisimulia jinsi ilivyokuwa siku ya...
View ArticleWaziri Mwakyembe mgeni rasmi mkutano wa viongozi wa dini
Na Anitha Jonas – WHUSMWaziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe atakuwa mgeni rasmi katika mkutano wa viongozi wa madhehebu ya dini wenye lengo la kubadilishana mawazo kuhusu...
View ArticleTuzo za Mawaziri na Wabunge watakaofanya vizuri zazinduliwa
Kamati ya utawala ya shindano la tuzo za utekelezaji maendeleo kwa kasi ya juu kwa Wabunge na Mawaziri (THSDA) imezindua shindano la kutoa tuzo kwa Wabunge na Mawaziri watakaofanya vizuri katika...
View ArticleJinsi Supu Ya Ulimi Wa N’gombe Inavyo Tumika Katika Tiba Ya Kunenepesha Mwili...
Kwa watu ambao wamekonda na kudhoofu mwili kwa sababu ya maradhi mbalimbali na wanataka kurejesha afya zao katika hali ya kawaida, wanashauriwa kutumia dawa za asili na vyakula...
View ArticlePata Tiba Asili ya Fangasi, Harufu Mbaya, Vidonda vya Tumbo na Tatizo la...
Wanaume wengi Wanasumbuliwa na tatizo la kushidwa kushiliki vyema tendo hilo na kuwapelekea kuwa na mawazo mengi ambayo hayana majibu. Usikate tamaa MKWASHA POWER Ndio suluisho lako ina uwezo wakutibu...
View ArticleKenyatta akutana na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, IEBC
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta, amekutana na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, IEBC, kabla ya uchaguzi mpya uliopangwa kufanyika siku ya Alhamisi Oktoba 26.Wiki iliyopita Mwenyekiti huyo Wafula...
View ArticleWaziri Mkuchika atangaza kiama kwa watumishi wala rushwa
Serikali imesema mtumishi anayefanya kazi katika Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (Mkurabita) akibainika kushiriki vitendo vya rushwa atachukuliwa hatua mara...
View ArticleMahakama Kuu Yamtaka Josephine Mushumbusi Katika Kesi ya Lulu Michael
Kesi ya kuua bila kukusudia inayomkabili msanii wa fani ya uigizaji filamu nchini, Elizabeth Michael maarufu Lulu imeahirishwa hadi kesho Jumatano Oktoba 25,2017.Kuahirishwa kwa kesi hiyo leo Jumanne...
View ArticleKwa Nini Wanaume Wengi Wanaupungufu Wa Nguvu Za Kiume Na Maumbile Madogo?
Asilimia 45 ya wanaume wapo tofauti na wengine kwa kuwatimizia vyema wake au wapenzi Wao na kuwasababishia kutoka nje ya ndoa zao.NINI CHANZO CHA HAYO?Kupiga punyeto,Ngiri,Vidonda vya tumbo,Magonjwa ya...
View ArticleMkuu wa Wilaya Aingilia Kati Ugomvi wa FFU na Wananchi wa Ukonga Dar
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema amewapiga marufuku askari wa kikosi cha FFU na kusema hataki kuwaona wakisumbua wananchi katika eneo la Ukonga Dar es Salaam na kutaka waliohusika wachukuliwe...
View ArticleFFU waingilia kati kuwatuliza abiria wa FastJet Mwanza
Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia(FFU) leo wamelazimika kuingilia kati kutuliza vurugu zilizoazishwa na abiria 75 waliokosa usafiri wa ndege ya kampuni ya FastJet kutoka Mwanza kwenda Dar es Salaam...
View Article