Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Jinsi Supu Ya Ulimi Wa N’gombe Inavyo Tumika Katika Tiba Ya Kunenepesha Mwili Ulio Konda Na Kudhoofu Kwa Sababu Ya Maradhi Mbalimbali

$
0
0
Kwa  watu  ambao  wamekonda  na  kudhoofu  mwili  kwa sababu  ya  maradhi  mbalimbali  na wanataka  kurejesha  afya  zao  katika  hali ya  kawaida, wanashauriwa  kutumia dawa za  asili  na  vyakula  mbalimbali  ambavyo  husaidia  kuurejesha  mwili  katika  hali  yake  ya  kawaida.

Dawa-lishe  ya  kuongeza, kurutubisha  na  kunenepesha  mwili, ni  dawa  maalumu  kwa  watu  wenye  uzito  wa  chini  (  Under weight ) ambao  wanataka  kuongeza  mwili  na  uzito.
 
Dawa  hii  huwasaidia  watu  ambao  miili  yao  imedhoofu  kutokana  na  sababu  mbalimbali  kama  vile  kuugua  magonjwa  na  maradhi  mbalimbali.

Na  kwa  wale  watu  wembamba  ambao  wanataka  kuongeza  miili  yao, dawa  hii  huwasaidia  vizuri  sana.
MAHITAJI   YA  DAWA –LISHE
 i. Dawa –lishe vijiko  viwili vikubwa.
ii.Asali  ya  tende  vijiko  vitano  vikubwa.
iii. Tangawizi  ya  unga  vijiko  vikubwa  viwili
iv. Unga  wa ufuta
v.Maziwa  fresh nusu  lita
vi.Maji  ya  moto  kiasi  cha  milimita  mia  mbili  na  hamsini  ( 250 mills  )

MATAYARISHO
 i. Chukua  vijiko  vinne  vyenye  dawa  lishe  yako  kisha  chemsha  na  nusu  lita  ya  maji  hadi  mchanganyiko  wako  utokote  halafu  ipua, chuja , makapi  weka  pembeni  kisha  hifadhi  juisi  yako.
ii.Tayarisha  uji kwa  kutumia  unga  wa  ufuta  na maziwa  fresh
iii.Chukua  vijiko  viwili  vikubwa  vya tangawizi  ya  unga  kisha  changanya  kwenye  kikombe  cha  maji  ya  moto  chenye  ujazo  wa  milimita  mia  mbili  hamsini  (  250  mills )

MATUMIZI:
i.Tumia  kunywa  nusu  lita  ya  dawa –lishe  yako  kisha
ii.Tumia kula  vijiko  vinne  vikubwa  vya  asali  ya  tende
iii.Kisha tumia  kunywa  vikombe  vinne  vya  uji  wa  ufuta  ulio changanywa  na  maziwa  fresh
iv.Halafu  kunywa  glasi  moja  ya  moto  iliyo  changanywa  na  vijiko  viwili  vikubwa vya tangawizi  ya  unga.
 
UTAFANYA  HIVYO  MARA  MBILI  KWA  SIKU  KWA  MUDA  WA  SIKU  THELATHINI  MFULULIZO.
Baada  ya  siku  thelathini, utaangalia  na  kujitathmini  kiasi  ulicho  ongezeka. Kama  utataka  kuendelea  kuongezeka  zaidi, utaendelea  kutumia  dozi  hii  hadi hapo utakapo fikia kiwango  utakacho  rizika  nacho.
 
SUPU  YA  ULIMI  WA  N'GOMBE. N.B : KAMA  UTAWEZA  UNASHAURIWA PIA, KUWA  UNATUMIA  SUPU  YA  ULIMI  WA  N'GOMBE  MARA  KWA  SIKU KWA  KADRI UTAKAVYO WEZA. HII KWA  SABABU  ULIMI  WA N'GOMBE UNATAJWA  KUWA  NA  KIASI  KIKUBWA  CHA PROTINI  ITOKANAYO  NA  WANYAMA  AMBAYO INATAJWA  KUWA  MUHIMU  SANA  KATIKA  UKUAJI WA  MISULI  YA  SEHEMU MBALIMBALI  ZA  MWILI.

JINSI  YA KUTUMIA  SUPU YA  ULIMI  WA  N'GOMBE  KATIKA LISHE  YA  KUNENEPESHA  MWILI
Muhitaji  anashauriwa kutumia  walau robo kilo  au  nusu kilo  ya  supu ya  ulimi  wa  n'gombe kwa siku. Ni nzuri  sana  kwa  mtu  anae  tumia  dawa lishe  ya  kunenepesha  mwili. Hata  hivyo  unashauriwa  kutokutumia  supu  hii  kwa wingi  kwani  inaweza  kuzidisha  kiwango  cha  lehemu (cholestrol)  mwilini. Unashauriwa  kutumia  kwa  busara  pamoja na  vitu vilivyo orodheshwa  hapo juu, yaani  Dawa Lishe, Asali  ya  Tende  na  Uji  wa  Ufuta.

=======================================

JINSI YA  KUIPATA  DAWA  LISHE:
 Dawa  hii  inapatikana  katiuka  duka  la dawa  asilia  la  NEEMA  HERBALIST  &  NUTRITIONAL  FOODS  CLINIC  lililopo  jijini  DAR  ES  SALAAN  katika  eneo  la  TABATA  MAKOKA  karibu  na  SHULE  YA  SEKONDARI  YA  MT. ANNUARITE.
 
 Unaweza  kufika  moja  kwa  moja  katika  ofisi  zetu  AU  unaweza  kuletewa  mahali popote  ulipo  jijini  Dar   Es  salaam.
 
Kwa  wakaazi  wa  ZANZIBAR  watatumiwa dawa  kwa  njia  ya  usafiri  wa  boti  na  kwa  wateja  wetu  wa  ughaibuni watatumiwa  dawa  kwa  njia  ya  POSTA  au  DHL.
 
Kwa  mawasiliano  zaidi  wasiliana  nasi  kwa  simu
0766  53  83   84

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>