Francis Cheka atangaza ramsi kustaafu ngumi
Bondia maarufu nchini Tanzania Francis Cheka, jana ametangaza rasmi kustaafu mchezo wa msumbwi kwa kile alichokieleza ni ubabaishaji wa ma-promota pamoja na kutopata faida katika mchezo huo.Cheka...
View ArticleWashitakiwa Wanne Mauaji wa Dr. Mvungi Waachiwa Huru
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia huru washitakiwa wanne kati ya 10 waliokuwa wanakabiliwa na mashitaka ya mauaji ya bila kukusudia ya aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk...
View ArticleWaziri Mkuu: Wasichana waachwe wasome
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imedhamiria kuwalinda watoto wa kike na ndiyo maana inasisitiza waachwe wasome hadi wamalize kidato cha sita.Alitoa kauli hiyo kwa nyakati tofauti wakati...
View ArticleDC Singida aagiza atakayeugua kipindupindu afikishwe mahakamani
Na Nathaniel Limu, SingidaWatu wawili wakazi wa jimbo la Singida Kaskazini mkoani Singida, wamefariki dunia baada ya kuugua ugonjwa hatari wa Kipindupindu unaotokana na uchafu.Akizungumza na mwandishi...
View ArticleBaba Adaiwa kumlawiti mtoto wake wa kiume
Mwanamume mwenye miaka 45 Yohana Omari anatafutwa na Polisi kwa tuhuma za kumlawiti mtoto wake wa kiume mwenye umri wa miaka 16, kwa zaidi ya miaka miwili. Omari ametoroka baada ya kupata taarifa kuwa...
View ArticleJela maisha kwa kupora simu ya Sh110,000 na kujeruhi
Kesi ya wizi wa simu aina ya Tecno iliyochukua takriban miaka miwili mahakamani, imefika tamati kwa mtuhumiwa kufungwa maisha jela. Hukumu hiyo ilifikiwa jana katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, baada...
View ArticleViongozi Chadema Arusha Wakamatwa Na Polisi
JESHI la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia watu 12, wakiwemo viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Arusha.Viongozi hao walikamatwa kwa amri ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha,...
View ArticlePata Dawa za Asili za Kupunguza Maziwa, Kuondoa Michirizi, Kuongeza Unene,...
NATURAL BEAUTY COSMETICS Ni wauzaji wa vipodozi aina mbali mbali na vyenye matokeo mazuri na ya haraka zaidi bila kemikali wala madhara yoyote Tunazo za:👇👇👇👇1. Kutengeneza shepu hipsi na makalio...
View ArticleUrusi Yaapa Kulipiza Kisasi Baada ya Marekani Kuwatimua Wanadiplomasia wa Urusi
Urusi imeonya kwamba italipiza kisasi hatua ya rais wa Marekani Barrack Obama ya kuwatimua wanadiplomaisa 35 wa Urusi kufuatia tuhuma kwamba Urusi iliingilia maswala ya uchaguzi wa Marekani kwa njia ya...
View ArticlePicha: Waziri Nchemba atembelea WCB, aahidi kuongeza kasi ya kulinda kazi za...
Waziri wa Mambo ya ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba wiki hii alitembelea ofisi ya WCB iliyopo Sinza Mapambano jiji Dar es salaam na kujionea uwekezaji uliofanywa na label hiyo ambayo ipo chini ya Diamond...
View ArticleDiamond Atikisa Australia....Wimbo Wake Wavunja Rekodi ya Mwaka
Diamond Platnumz haishi kutuamsha na habari kubwa zinazohusiana na nyimbo zake.Siku moja baada ya DW kuitaja ngoma aliyoshirikishwa na marehemu Papa Wemba, Chacun Pour Soi kuwa imefunga mwaka kwa kuwa...
View ArticleTamko la Zitto Kabwe kuhusu madeni anayodaiwa, mshahara na mali alizonazo
Leo December 30, 2016 Mbunge Zitto Kabwe kutoka Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo) kupitia akaunti yake facebook ametoa taarifa kuhusu madeni anayodaiwa, kiwango cha mshahara wake wa mwaka, kiasi cha pesa...
View ArticlePicha : Hali ya mwanamuziki Chid Benz yazidi kuwa mbaya
Watu wengi walionyesha kusikitishwa baada ya habari kuenea kuwa mwanamuziki Rashid Mkwiro maarufu Chid Benz ametoroka kwenye nyumba ya matibabu (Sober house) alipokuwa akipatiwa matibabu kutokana na...
View ArticleKilichosababisha bondia Francis Cheka kufungiwa kucheza ngumi
Leo December 30, 2016 Kamisheni ya ngumi za kulipwa nchini (TPBC) imetangaza kumfungia kwa miaka miwili Bondia wa ngumi za kulipwa, Francis Cheka kufuatia kitendo chake cha kugoma kupanda ulingoni...
View ArticleKamanda Sirro Katoa Tathmini ya Uhalifu Dar kwa Mwaka Mmzima wa 2016
KIKOSI cha Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, imekamata jumla ya watuhumiwa 13,626 na kuwafikishwa mahakamani kwa tuhuma mbalimbali, ikiwemo dawa za kulevya na ujambazi wa kutumia silaha kwa...
View ArticleRose Ndauka: Sina mahusiano ya kimapenzi na MC Pilipili
Baada ya kuenea uvumi katika mitandao ya kijamii kuwa mchekeshaji MC Pilipili anatoka kimapeniz na Rose Ndauka, muigizaji huyo amekanusha uvumi huo.Wiki chache zilizopita kupitia kipindi cha The Play...
View ArticleBasi la National Express lapata ajali Singida....Wawili Wafariki, 26 Wajeruhiwa
Watu wawili wamefariki dunia na wengine 26 kujeruhiwa kwenye ajali iliyohusisha basi la kampuni ya National Express T.662 DEF, baada ya kuacha barabara na kupinduka zaidi ya mara tatu katika eneo la...
View ArticleWaziri wa Fedha na Mipango azungumzia ukuaji wa uchumi wa Taifa kwa kipindi...
Nashukuru kupata fursa ya kuzungumza nanyi leo kuhusu hali ya uchumi wa Taifa kwa kipindi cha Julai – Desemba, 2016 na matarajio hadi Juni 2017. Nitajitahidi kutumia lugha rahisi ili wananchi wa...
View Article