Quantcast
Channel: MPEKUZI
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Umeme Wapanda Bei Kwa Asilimia 8.5........Hapa Kuna Jedwali la Bei Mpya...

Watanzania  wataanza Mwaka Mpya kwa mabadiliko katika nishati ya umeme, baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kuongeza bei ya umeme kwa wastani wa asilimia 8.5.Mamlaka hiyo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Msajili Mkuu wa Mahakama awataka mahakimu wazingatie haki ya dhamana

Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Katrina Revocati amewataka mahakimu nchini kuzingatia sheria katika utendaji wao wa kazi hasa katika utoaji wa dhamana. Kauli ya Msajili imekuja wakati kukiwa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali Yapiga Marufuku Kuzungumzia Faru John

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Ramo Makani amesema kuwa hakuna mwenye Mamlaka ya kutoa tamko au ufafanuzi kuhusu faru John kwa sasa zaidi ya Waziri Mkuu kwa kuwa jambo hilo liko chini ya ofisi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SORRY MADAM -Sehemu ya 11 & 12 (Destination of my enemies)

 MWANDISHI: EDDAZARIA G.MSULWAILIPOISHIA“Mama mbona siwaelewi”“Huo ndio ukweli halisi mwanangu, wewe si mtoto wa Godfrey, baba yako wewe ni Godwin. Am your mother na natambua ni nani aliyenipa ujauzito...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumapili ya January 1, 2017

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Muhongo Azuia Bei Mpya Ya Umeme

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Lowassa, Sumaye Wamtembelea Lema Gerezani

Maziri  wakuu wa zamani ambao ni wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa na Fredrick Sumaye, jana wamemtembelea Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Nchemba akutana na Mama wa Chid Benz.....Aeleza Alivyosikitishwa na...

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba ameguswa na hali ya uathirika wa matumizi ya dawa za kulevya inayomtesa rapa Chid Benz na kulazimika kufika nyumbani kwao kuzungumza na mama yake...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Agizo la Waziri Mkuu kwa walimu wanaoishi mbali na shule zao

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza walimu wanaishi mbali na shule wakati shule zao zina majengo wahame mara moja na warudi kuishi kwenye nyumba za shule.Amesema haifai kuacha walimu waishi mbali na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli kufanya ziara ya siku mbili kwa waathirika wa tetemeko la ardhi...

Ikiwa imepita miezi mitatu na siku kadhaa toka kutokea kwa tetemeko la Ardhi mkoani Kagera leo Rais wa Jamhuri wa Muungano Mh. John Pombe Magufuli anategemewa kuwasili mkoani humo kwa ziara ya siku...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Picha: Rais Magufuli Ashiriki Ibada Ya Jumapili Ya Mwaka Mpya Katika Kanisa...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Askofu wa Jimbo Katoliki la Bukoba Desiderius Rwoma mara baada ya kuwasili katika Kanisa Kuu la Jimbo katoliki Bukoba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli Asema Bei ya Umeme HAITAPANDA Hata Kidogo.......Ampongeza...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  amewahakikishia Watanzania kuwa licha ya Mamlaka ya udhibiti wa huduma za Nishati, Maji na Mafuta (EWURA) kuridhia ombi la TANESCO la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ufafanuzi wa Zitto baada ya baadhi ya wabunge kutofurahishwa na tamko lake

December 30 2016 mbunge wa kigoma mjini na kiongozi mkuu wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe alitoa taarifa kuhusu madeni anayodaiwa, kiwango cha mshahara wake wa mwaka, kiasi cha pesa kilichopo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Breaking News: Rais Magufuli Atengua Uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu ya January 2

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Lowassa Apongeza Ushindi Wa Trump

WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, amewapongeza raia wa Marekani kwa kumchagua Donald Trump kuwa rais mpya wa nchi hiyo.Kwa mujibu wa Lowassa, Trump atakuwa rais mwenye kufanya uamuzi mgumu kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tulia: Tanzania mpya inawezekana

Naibu Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson amesema kuwa Tanzania mpya yenye matokeo chanya kwa mwaka 2017 iwapo inawezekana  iwapo kila mmoja wetu atafanya kazi kwa bidii ili kuliletea taifa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UVCCM Wilaya Ya Longido Washerehekea Sikukuu Ya Mwaka Mpya Kwa Kuwatembelea...

Mjumbe  wa Baraza kuu UVCCM Mkoa wa Arusha Ndg. Robert PJN  Kaseko akitambulisha vijana wenzake wa UVCCM Wilaya ya Longido aliofuatana nao baada ya kuwasili katika kituo cha Watoto Yatima Maasai...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Meli yateketea, watu 23 wapoteza maisha

Shirika linalosimamia maafa nchini Indonesia limetoa taarifa kwamba takriban watu 23 wamekufa kutokana na moto uliozuka kwenye meli liiyokuwa imewabeba zaidi ya watu 200 katika pwani ya JakartaMeli...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli azuia chakula cha msaada Misenyi.....Awataka Wananchi Wachape Kazi

Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli amezuia serikali kupeleka chakula cha msaada wilayani Misenyi mkoani Kagera kwa madai kuwa wilaya hiyo haina sababu ya kukumbwa na tatizo la njaa.Rais Magufuli...

View Article
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>