Quantcast
Channel: MPEKUZI
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Boomplay, Universal Music Group Watangaza Ushirikiano Katika Usambazaji Muziki

Universal Music Group inakuwa kampuni ya kwanza kuingia mkataba na jukwaa linaloongoza kwa huduma ya kusikiliza na kupakua muziki barani Afrika.Boomplay, huduma ya muziki inayoongoza upande wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bunge Kuanza Kesho Jumanne

Mkutano wa 13 wa Bunge utaanza kesho, huku miswada ya sheria mitano ikitarajiwa kusomwa kwa mara ya kwanza ikiwemo wa sheria ya vyama vya siasa ya mwaka 2018.Spika wa Bunge, Job Ndugai  leo amesema...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC Muro Awatia Mbaroni Watuhumiwa Watatu Walioshiriki Kumtoa Mimba Mwanafunzi

Na Imma Msumba Arumeru,Mkuu wa Wilaya ya Arumeru kwa kushirikiana na Jeshi la polisi Wilaya ya Arumeru limewakamata watuhumiwa wa Tatu ambao wameshiriki kumtoa mimba mwanafunzi wa kidato cha nne kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Riwaya Kali: POWER - Sehemu ya 26

MWANDISHI: EDDAZARIA G.MSULWA- 0657072588ILIPOISHIA   “Umesahau masharti yetu. Endapo utamueleza mtu yoyote kuhusiana na mimi basi nitakwenda kumuua huyo mtu pasipo huruma ya aina yoyote”Ethan...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AISIIIII……….U KILL ME ( Sehemu ya 138 na 139 )

MWANDISHI: EDDAZARIA G.MSULWA- 0657072588ILIPOISHIA    “Baba umefwata nini chumbani kwangu!!”Niliisikia sauti ya Yemi Okocha akizungumza kwa mshangao, nikahisi labda yupo usingizini.“Huyu ndio aliye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Video Mpya: Barakah The Prince - Mawazo

Msanii Barakah The Prince anakukaribusha kutazama video ya wimbo wake mpya uitwao Mawazo.  Itazame hapa.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wimbo Mpya wa Bright X Nini – Kuna Nini

Wimbo Mpya wa  Bright X Nini – Kuna Nini. Utazame hapa

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wimbo Mpya: Prince - SAWA

Wimbo Mpya: Prince - SAWA . Utazame hapa

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumanne Ya November 6

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Msemaji Mkuu wa Serikali: Serikali Imefanya Mambo Makubwa Sana Ndani ya Miaka...

Na. Immaculate Makilika – MAELEZOSerikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, imefanya jitihada kadhaa ikiwa ni sambamba na kutekeleza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Habari Njema Kwa Wenye Matatizo Ya Nguvu za Kiume, vitambi, nyama uzembe

(1).Fikiria ulianzia wapi? Je,ulifanikiwa au bado?(2).Upo tayari kupona kwa haraka?TIBA ZITOLEWAZO NI,NGORO 4 POWER; Huongeza nguvu za kiume yenye mfumo wa unga na vidonge dozi siku(6).MELAMELA;...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LIVE | Mkutano wa 13 wa BUNGE Jijini Dodoma

LIVE | Mkutano wa 13 wa BUNGE Jijini Dodoma. Tazama hapo chini

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Abdul Nondo: Nitaendelea Kupambana

Baada ya kuachiwa huru   na Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Iringa, aliyekuwa Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP), Abdul Nondo, ameeleza magumu aliyopitia wakati akitetea wanafunzi huku...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jipatie Dawa ya Asili ya Kupunguza Maziwa, Kupunguza Tumbo,Kuongeza Unene,...

Bidhaa za NATURAL BEAUTY PROD ni bidhaa zilizothibitishwa kiafya na kupewa kibali original cha kuuzwa hadharani.Bidhaa hizi zimetengenezwa kwa mimea na matunda hazina chemical wala madhara yoyote kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wabunge wa CHADEMA, CUF Wasusia Viapo vya Wabunge wapya wa CCM

Wabunge wa Chadema na wa CUF upande wa katibu mkuu Maalim Seif wamesusia kushuhudia kiapo cha wabunge wanne wa CCM wakati wabunge hao walipokuwa wanaapishwa.Mkutano wa Bunge umeanza leo asubuhi Jumanne...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Alikiba Ajibu 'Kiaina' Mwaliko wa Diamond Wasafi Festival

Jana Novemba 5,  Diamond Platnumz alitangaza kuwa anatamani sana kumuona msanii mwenzake pia akiwa kama kaka yake kwenye muziki Alikiba awepo kwenye tamasha lake la Wasafi Festival .Lakini baada ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TFF Yatangaza Tarehe Ya Uchaguzi Yanga

Kamati  ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), imetangaza rasmi kuanza kwa mchakato wa uchaguzi wa klabu ya Yanga unaotarajia kufanyika Januari 13, mwakani.Kumekuwa na mvutano tangu klabu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ajali Mbaya ya Gari Yaua Watu 6 Pwani

Na Mwamvua Mwinyi, BagamoyoWatu sita akiwemo mtoto mchanga wa jinsia ya kike wamefariki dunia na wengine saba kujeruhiwa katika ajali iliyotokea kijiji cha Msata, barabara kuu ya Segera/Chalinze mkoani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mizizi 29 Power Ni Dawa Ya Nguvu Za Kiume Ambayo Imechanganywa Na Mizizi 29

Kumekuwa na malalamiko mengi kutoka kwa wanaume wazee hata na vijana kupungukiwa au kutokuwa kabisa na nguvu za kiume nanimekuwa nikipigiwa simu na wanawake wakilalamika ndoa zao zipo mashakani maana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mbunge wa CUF Ataka Mwenge usikimbizwe Kwa Madai Kwamba Umepoteza Mvuto

Leo Jumanne Novemba 6, 2018, mbunge wa Temeke (CUF), Abdallah Mtolea ameuliza kama Serikali haioni kukimbiza Mwenge wa Uhuru kwa sasa hakuna umuhimu tena kwani umekuwa ukisababisha mambo mengi ikiwemo...

View Article
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>