Quantcast
Channel: MPEKUZI
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu ya November 5

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Habari Njema Kwa Wenye Matatizo Ya Nguvu za Kiume, vitambi, nyama uzembe

(1).Fikiria ulianzia wapi? Je,ulifanikiwa au bado?(2).Upo tayari kupona kwa haraka?TIBA ZITOLEWAZO NI,NGORO 4 POWER; Huongeza nguvu za kiume yenye mfumo wa unga na vidonge dozi siku(6).MELAMELA;...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kidato Cha NNE Kuanza Mitihani Leo....Serikali Yatoa Onyo Kwa Watakaoiba...

Mtihani  wa taifa wa kidato cha nne unaanza leo, huku Baraza la Taifa la Mitihani (Necta) likitoa onyo kali kwa watakaobainika kujihusisha na vitendo vya udanganyifu.Baraza hilo limesisitiza kuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Matokeo ya Uchaguzi wa Simba SC

Club ya Wekundu wa Msimbazi Simba SC Jumapili ya November 4 2018 ilifanya mkutano wake mkuu sambamba na uchaguzi mkuu wa mwenyekiti na wajumbe wa Bodi ya wakurugenzi wa kampuni ya Simba SC ambapo kura...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sukari Ya Kupanda Ni Tatizo Linalo Weza Kudhibitiwa Kwa Tiba Asilia

Unasumbuliwa na tatizo la sukari ya kupanda kwa muda mrefu ? Umejaribu tiba mbalimbali bila mafanikio?Kama jibu lako ni NDIO nasi hii ni HABARI NJEMA SANA KWAKO.Ipo dawa ya asili ambayo inasaidia sana...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC Makonda Alivyo Mwaga Machozi Akiombewa Kanisani

Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Mhe. Paul Makonda jana  Novemba 4, 2018 aliangua kilio kwa mara nyingine kanisani aliposhiriki ibada ya Jumapili kwenye Kanisa la Efatha lililoko Mwenge jijini Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jipatie Dawa ya Asili ya Kupunguza Maziwa, Kupunguza Tumbo,Kuongeza Unene,...

Bidhaa za NATURAL BEAUTY PROD ni bidhaa zilizothibitishwa kiafya na kupewa kibali original cha kuuzwa hadharani.Bidhaa hizi zimetengenezwa kwa mimea na matunda hazina chemical wala madhara yoyote kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwanafunzi afariki kwa kukatwa mguu akichunga ng’ombe

Aliyekuwa mwanafunzi wa Shule ya Msingi Kisangura wilayani Serengeti, Mkoa wa Mara, Emmanuel Nyakitare, (15), amefariki baada ya kukatwa mguu kwa panga na mwanafunzi mwenzake wakiwa wanachunga...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Masunzu Power Mix Dawa Bora Ya Nguvu Za Kiume Na Maumbile Madogo

🌸MASUNZU POWER MIX; ni dawa ya asilia yenye mchanganyiko wa mitishamba 7 yenye maajabu yafuatayo (1) inatibu upungufu wa nguvu za kiume Mara dufu na kuimalisha uume   uliolegea wakati wa tendo la ndoa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ugonjwa wa Zinaa wa Kisonono (gonorrhea) : Dalili Zake, Madhara Yake Na Jinsi...

Kati ya magonjwa yanayoathiri watu wengi sana duniani ni magonjwa ya zinaa. Haya ni magonjwa yanayoambukizwa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine kupitia vitendo vya ngono. Vitendo hivi vya ngono...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Breaking News: Mahakama Yamwachia Huru Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi...

Mahakama ya Hakimu Mkazi Iringa imemuachia huru Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi (TSNP), Abdul Nondo leo Novemba, 5  baada ya upande wa Jamhuri kushindwa kuthibitisha makosa mawili yaliyokuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kimewaka tena: Marekani Yaiwekea Vikwako Iran....Jeshi La Iran leo Kufanya...

Marekani imetangaza kuwa leo Nov 5 imeirejeshea vikwazo nchi ya Iran vitakavyolenga sekta ya mafuta na sekta ya kifedha.Marekani imesema imeiwekea Iran vikwazo vigumu zaidi ambavyo haijawahi kuiwekea....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEMC Yakifungia Kiwanda cha Nyama ya Punda

Baraza  la Usimamizi wa Mazingira nchini (NEMC), limekifungia kiwanda cha kusindika nyama ya punda kilichopo kwenye Jiji la Dodoma, baada ya ukaidi wa muda mrefu wa mmiliki kufuata taratibu sahihi za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC Makonda Afunguka Siri Ya Kumwaga Machozi Kanisani...."Watu Wanadhani ni...

Siku moja baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda kutokwa na machozi akiwa katika ibada katika kanisa la Efatha linaloongozwa na mtumishi wa Mungu Josephat Mwingira kiongozi huyo ameibuka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Diamond Azindua Rasmi Wasafi Festival na Wasafi FM

Kampuni ya Wasafi Classic Baby (WCB) leo imezindua kituo cha redio cha Wasafi FM pamoja na tamasha la Wasafi litakalofanyika katika maeneo mbalimbali nchini.Mkurugenzi wa WCB, Nassib Abdul 'Diamond...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC Jokate Mwegelo atembelea pacha waliotenganishwa Muhimbili

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani, Jokate Mwegelo akiwa na Ester Simon baada ya kumtembelea leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) ambako pacha walifanyiwa upasuaji wa kuwatenganisha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Habari Njema: Tunatibu Busha, Korodani Kuvimba,Ngiri, Miguu Kufa Ganzi Pamoja...

Ni dawa pekee iliyotibu watu wengi nchini na nje ya nchini kwa kufanya kazi Mara 3 kwa wakati mmoja 1 ...kurefusha uume na kunenepesha saizi upendayo, kuogeza nguvu za kiume na inatibu matatizo ,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TFF Yamfungia maisha aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati yake ya Uchaguzi, Wakili...

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kupitia Kamati ya Maadili limemfungia maisha kutojihusisha na soka aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati yake ya Uchaguzi, Wakili Revocatus Kuuli baada ya kukutwa na hatia ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kiboko Ya Matatizo Ya Nguvu Za Kiume,maumbile Madogo, Mvuto Wa Mapenzi...

Matatizo ya nguvu za kiume  yamekua yakiathiri watu wengi sana kisaikologia hasa baada ya kujiona wakotofauti sana na wengine, kawaida mwanaume anatakiwa awe na uume kuanzia nchi (6-8) vinginevyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mzee wa Miaka 65 Mbaroni kwa Tuhuma za Kubaka Mtoto wa Miaka Mitatu

Mkazi wa Mburahati Motomoto, jijini Dar es Salaam, Mohamed Hassani (65) anashikiliwa na jeshi la polisi mkoa wa Kinondoni akituhumiwa kumbaka mtoto wa kike wa miaka mitatu.Mama mlezi wa mtoto huyo,...

View Article
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>