DIVA
wa filamu za Bongo ambaye pia ni Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu
anasakwa na Jeshi la Polisi Kituo cha Kawe, Dar es Salaam kwa tuhuma za
kufanya fujo hotelini, kumtukana matusi ya nguoni na kumpiga makofi
meneja wa hoteli hiyo, Godluck Kuyumbu. Songombingo hilo lilijiri saa
tano usiku wa Jumatano iliyopita kwenye hoteli hiyo
iliyopo Kawe Beach, jijini Dar.
Akizungumza
na
↧