Wiki hii Watanzania na mashabiki wa shindano la Big Brother Africa
hawana haja ya kuwa wasiwasi ya kuwaokoa washiriki wao kwakuwa Nando na
Feza Kessy wako safe.
Kilichobaki ni kuvuta tu viti virefu na kuendelea
na bata huku tukiwaangalia wengine wakihaha kuokoa washiriki wao.
Hata hivyo Evictions ya wiki hii inatarajiwa kuwa ya aina yake tangu
show ianze hasa kwakuwa waliotajwa
↧