MWIGIZAJI wa kike Witness Lunyungu ‘Brandina’ aliyetamba sana na
filamu ya The Game na kuwa maarufu amewaasa wasanii wenzake wa filamu
kutokimbilia kuolewa na wanaume wasiowapenda sana kwani ni rahisi kupoteza
vipaji vyao sambamba na ajira ya uigizaji...
Blandina anadai kwamba hata yeye alikumbwa na
kadhia hiyo baada ya kuolewa na mumewe ambaye alimpiga marufuku kabisa
kuigiza
↧