BONDIA maarufu Ramadhani Idd ‘Mashudu’ ameuawa kwa kuchomwa visu mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.
Tukio
hilo lililowaacha midomo wazi wakazi wa Mabibo Loyola, Wilaya ya
Kinondoni jijini Dar es Salaam lilitokea saa sita usiku Julai 4, mwaka
huu.
Imedaiwa kuwa, marehemu aliwakuta Jack Mchaki na mtu mwingine wakigombana, alipowaamulia wakamgeuzia kibao na kumchoma visu.
Waandishi
↧