Matokeo mabaya ya kidato cha nne ya mwaka 2012, yameendelea
kuitikisa sekta ya elimu nchini baada ya shule kufunguliwa jana bila
kutangazwa kwa waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano mwaka huu.
Kwa kawaida, wanafunzi wanaochaguliwa kujiunga na
kidato cha tano na vyuo vya ualimu, hutangazwa mapema ili kutoa fursa
kwa wanafunzi na shule husika kufanya
↧