Mbunge wa Dodoma mjini Mh
Dr David Mallole, alipoenda kuwatembelea wahanga wa mlipuko wa Petrol
katika hospital ya mkoa wa Dodoma,General Hospital na kutoa pole kwa
wagonjwa waliopatwa na janga hilo kwa kuwapatia pole pamoja na msaada wa
pesa ya dawa kwa kila mmoja
Mtoto huyu ni mwanafunzi wa kidato cha tatu Shabani p. Shaban .Alikutana na janga hili baada ya kwenda kwa
↧