Uongozi wa Kampuni ya
Reli Tanzania –TRL unasikitika kuwataarifu wananchi na wakazi wa jiji
kwa jumla kuwa huduma ya treni ya jiji haitokuwepo kwa muda wa siku 2
kuanzia leo Julai 8, 2013 kutokana na hitilafu kubwa katika kichwa
kimojawapo cha treni hiyo.Uamuzi huo unatokana na sababu za kiufundi unaosimamia uendeshaji wa huduma hiyo jijini.
Kwa
utaratibu huduma hii huendeshwa kwa
↧