Mwanamke mmoja Sumayi Girandi mkazi wa kijiji cha Kunzugu
wilayani Bunda amepoteza vidole vitatu vya mkono wa kulia na kiganja cha
mkono wa kushoto kukatwa baada kushambuliwa kwa mapanga na watu
wasiojulikana kisa kikidaiwa kuwa kutaka kunyang’anywa mali zake.
Uhodari
wa mama huyo wa kutafuta mafanikio ya familia yake hasa baada ya
kutengana na mume wake umeishia hapo baada ya watu
↧