Shughuli za serikali zimelazimika kusimama kwa zaidi ya saa moja
kutokana na wafanyakazi wa wizara ya uchukuzi kukimbia nje ya ofisi zao
baada ya jengo lililoungana na wizara hiyo kupata hitilafu ya umeme
iliyosababisha kutaka kuanza kuungua moto.<!-- adsense -->