Mwigizaji wa filamu za Kibongo, Irene Pancras Uwoya, amelowa mvua ya
matusi baada ya kumfananisha mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’
na aliyekuwa mwanamuziki mkubwa duniani, marehemu Michael Jackson.
Wikiendi iliyopita, Uwoya aliandika kwenye ukurasa wake katika mtandao
wa Instagram kuwa msanii huyo anayefanya vizuri katika Bongo Fleva ndiye
staa atakayemrithi mkali huyo wa Pop,
↧