WAZIRI Mkuu wa Zamani Edward Lowassa, amekanusha taarifa
zilizochapishwa na gazeti moja la kila wiki iliyosema “Lowassa apanga
safu”, akisema hana haja ya kufanya hivyo wala kutumia fedha kumnadi
mgombea yeyote.
Taarifa iliyotolewa na ofisi yake ilisema habari hiyo ilijengwa na
taswira ya uongo kwamba kuna mpango wa kupanga nani atagombea ubunge
katika Jimbo la Monduli baada ya
↧