Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinda amesema kuwa ni halali na ni sahihi kutumia wanafunzi wa shule za msingi na sekondari (watoto wa shule) katika shughuli za kisiasa.
Pinda ametoa kauli hiyo katika kipindi cha Maswali kwa Waziri Mkuu wakati akijibu swali ya mbunge wa viti maalum CHADEMA na Waziri kivuli wa Elimu Suzan Lymo aliyetaka kauli ya serikali kuhusiana na CCM kuwatumia wanafunzi wa shule
↧