SIKU chache baada ya picha za mtoto mchanga kusambazwa katika
mitandao ya kijamii na kudai kuwa ni za mtoto wa mwimbaji wa nyimbo za
Injili nchini, Flora Mbasha kuwa amezaa na Mchungaji Kiongozi wa Kanisa
la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima hatimaye wawili hao wamefunguka.
Hatua hiyo imekuja miezi saba tangu wawili hao walipoingia katika
mgogoro wa ndoa yao hali iliyosababisha mume
↧