Rais Jakaya Kikwete amevitaka vyombo vya upelelezi kutokurupuka kwa
kupeleka kesi mahakamani ambazo upelelezi haujakamilika matokeo yake
wanashindwa kesi na kwamba huko ni kumnyima mtu haki kwa kupeleka
mashitaka yasiyostahili.
Rais
Kikwete ametoa rai hiyo jijini Dar es salaam wakati wa maadhimisho ya
siku ya sheria nchini ambapo amesema watanzania lazima wapate haki tena
kwa
↧