Mabweni
matatu ya shule ya sekondari Engutoto wilayani Monduli mkoani Arusha
yameteketea kwa moto usiku wa kuamikia jana na kuunguza vitu vyote
yakiwemo madaftari nguo na vitabu huku vifaa vingine vikitajwa kuibwa na
baadhi ya watu waliokuwa wanawaokoa wanafunzi hao.
Wakizungumza shuleni hapo wanafunzi walionusurika na tukio hilo
wamesema tukio limetokea wakati wanafunzi hao wakiwa
↧