Bunge kupitia kamati yake ya Uongozi limeiagiza serikali kutoa fedha za
kutosha kwa ajili ya utoaji elimu na uandikishaji wapiga Kura katika
daftari la Kudumu la wapiga Kura kwa mfumo wa BVR.
Akitoa
taarifa ya mwenyekiti Bungeni wakati wa kuahirisha kikao cha 8 cha
mkutano 18 wa bunge jana, mwenyekiti wa Bunge Mussa Azzan alisema kuwa
Serikali imeridhia kutoa fedha kwa kadri ya
↧