Tanzania jana imeadhimisha siku ya sheria ambayo huashiria kuanza kwa
mwaka mpya wa idara ya mahakakama, ambapo Waziri Mkuu mstaafu Fredrick
Sumaye ameitaka serikali kuboresha majengo na mazingira ya kazi katika
idara ya mahakama.
Wilayani
Hanang' waziri mkuu mstaafu Frederick Sumaye aliyeshiriki maadhimisho
hayo, ameitaka serikali kuboresha majengo ya mahakama za mwanzo katika
↧