Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Kiongozi wa WASABATO Duniani Aja Tanzania

$
0
0
Kiongozi wa Kanisa la Waadventista Wasabato (SDA) duniani, Askofu Ted Wilson anatarajiwa kuwasili nchini leo kwa ziara ya kikanisa ya siku nne. Taarifa iliyotolewa na kanisa hilo, jijini Dar es Salaam,  inaonesha kuwa kiongozi huyo anakuja nchini kushiriki Sherehe za Utume zilizoandaliwa na kanisa hilo na kujumuisha nchi zingine 11 za Afrika Mashariki na Kati.   Pamoja na kushiriki

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>