STAA wa filamu Bongo, Aunty Ezekiel amewabwatukia
watu waliomzushia kuwa amejifungua na kusema kuwa anawaona kama
wametumwa na mapepo wabaya.
Akizungumza na mwandishi wetu, Aunty alisema anawashangaa
wanaokurupuka na kuzungumza kitu ambacho si cha kweli kabisa na kwamba
hakuna mtu ambaye alikuwepo siku aliyopata ujauzito huo.
“Nafikiri watakuwa na mapepo wabaya hao wanaozungumza
↧