Serikali imesema maafisa watendaji wa vijiji na mitaa wanapaswa kijiendeleza hadi kufikia elimu ya Astashahada kwa watendaji wa vijiji na mitaa na kwa watendaji wa kata ni stashahada ama shahada.
Pia imeagizwa kwamba wale wote ambao hawajafikia kiwango hicho watakuwa wamejiondoa wenyewe katika utumishi wa uma wa ngazi hizo.
Hayo yamesemwa bungeni mjini Dodoma na Naibu Waziri Ofisi ya
↧