Kamati ya Uongozi ya Bunge na Serikali imekaa kikao cha Dharula kujadili suala la uandikishaji wa wapiga Kura kwenye daftari la kudumu la kudumu la wapiga kura kwa mfumo wa kieletroniki BVR, zoezi ambalo limeshaanza katika baadhi ya mikoa nchini Tanzania.
Akitoa hoja ya Kujadiliwa suala hilo kama jambo la dharula kwa taifa Mbunge wa kuteuliwa Mh. James Mbatia amesema zoezi hilo limeanza
↧