Mrembo na mwigizaji wa filamu,
Elizabeth Michael ‘Lulu’ , ambae kwa sasa ameamua kupiga kitabu ,
anadaiwa kuwafunika kimasomo wanafunzi wenzake katika Chuo cha Utumishi
wa Umma Tanzania (TPSC) kilichopo Magogoni-Posta jijini Dar.
Akizungumza hivi karibuni chuoni hapo, mmoja wa wanafunzi wanaosoma
na mwigizaji huyo aliyeomba hifadhi ya jina lake alisema Lulu amekuwa
akihudhuria
↧