Muimbaji wa muziki kutoka THT, Recho ameweka wazi baadhi ya matunda aliyovuna kupitia muziki wake.
Akizungumza jana kwenye kipindi cha Sporah Show, Recho alisema
anashukuru Mungu kazi anayofanya tayari imemwezesha kufanya mambo mengi
ya muhimu.
“Nina kiwanja kwa kazi yangu mwenyewe, nina usafiri wangu kwa kazi
yangu mwenyewe,” alisema.
“Wala sijahongwa wala sijatumia pesa ya
↧