Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Wabunge wataka JWTZ Wapewe jukumu la kulinda Raia na Mali zao

$
0
0
Serikali imehadharishwa juu ya uvamizi na wizi wa silaha katika vituo vya polisi, kwa kuambiwa hali hiyo inatisha na kuhitaji hatua za makusudi kuimarisha ulinzi nchini. Baadhi ya wabunge wameshauri Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), yaruhusiwe kusaidia Polisi kulinda raia na mali zao, hususan kudhibiti vikundi vya kihalifu vinavyojitokeza. 

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>