Rehema Chalamila aka Ray C amekanusha taarifa zilizoandikWa na gazeti
moja la udaku nchini kuwa ameacha kuendelea na matibabu ya methadone na
kurejea kutumia madawa ya kulevya.
Amedai kuwa watu hao wana nia ya kumwaibisha yeye pamoja na Rais
Jakaya Kikwete aliyemsaidia. Akizungumza na Mpekuzi, Ray C amesema
hawezi kuacha matibabu au kurudia matumizi ya madawa ya kulevya kwani
↧