Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anawatangazia
Waheshimiwa Wabunge wote, wadau na umma kwa ujumla kuwa Kamati za Kudumu
za Bunge zitaanza vikao vyake tarehe 13 hadi 23 Januari 2015. Vikao
hivyo vitakavyoutangulia mkutano wa Kumi na Nane wa Bunge la Kumi
vitajadili na kuchambua pamoja na mambo mengine Miswada mbalimbali ya
sheria.
Miswada itakayopitiwa na chambuliwa
↧