NI
hakika ‘mtaa wa ngono’ umefumuliwa! Sakata hilo lilijiri saa tisa
usiku, Ijumaa iliyopita, Barabara ya Shekilango, kuanzia Bamaga hadi
Sinza Mori jijini Dar eneo ambalo makahaba wameligeuza chumbani
Kwa mujibu wa takwimu za kiserikali, eneo hilo
(kuanzia Bamaga hadi Sinza Mori) limekubuhu kwa wasichana kujiuza
nyakati za usiku huku makao yao makuu yakiwa eneo la Afrika Sana hasa
↧