Taasisi ya Kupambana na Ukimwi Nchini (Tacaids) imesema tafiti
mbalimbali zinaonyesha kuwa vitendo vya ngono kinyume na maumbile
vinazidi kuongezeka.Hayo yalisemwa jana na Dk. William Kafura, katika mkutano wa sita wa Chama cha Wabunge cha Kupambana na Ukimwi (Tapac).Alisema hiyo inatokana na imani za kishirikina kwamba wakifanya vitendo hivyo watapata bahati kwa kupandishwa vyeo.“Lazima
↧