Zitto Kabwe amefunguka na kudai kuwa kwa sasa wanajiandaa kufanya mapinduzi ya nchi endapo watu walioficha mabilioni uswiswi hawatashughulikiwa ipasavyo....
Suala la baadhi ya Watanzania kuhifadhi mabilioni ya fedha
nchini Uswisi limechukua sura mpya, baada ya tume maalumu kuwahoji
vigogo 200 wakiwamo wabunge, wanasiasa na wafanyabiashara.
↧