Katika hali yakushangaza , mbunge wa mbeya mjini kwa tiketi ya CHADEMA, mh. SUGU ameporomosha tusi zito kwa waziri mkuu wa tanzania ( mh. PINDA ) akidai kuwa Tanzania haijawahi kuwa na waziri mkuu mpumbavu kama yeye.....
Tusi la Sugu limekuja baada ya waziri mkuu kuwaruhusu rasimi polisi kutumia nguvu ya ziada kuwadhibiti wananchi kwa
↧