TAARIFA ya ndani
zinazodai kwamba, mimba ya mchumba wa Mwanamuziki wa Bongo Fleva,
Nassibu Abdul ‘Diamond’, Peniel Mgilwa ‘Penny’ imechoropoka
zimevuja....
Kwa mujibu wa chanzo makini kilichojitambulisha kwa jina la wifi 10 cha jijini Dar hivi sasa hana ujauzito tena kama wengi
wanavyodhani.
“Penny hana mimba jamani, yupo fiti kabisa na sidhani hata kama anatarajia kushika
↧